Mkali wa My Number 1, Diamond Platnumz, anazidi
kupepea mbele zaidi, kutokana na Taarifa zilizopatika ni kuwa msanii huyo wa
nchini Tanzania
ataungana na wasanii wengine wanaofanya poazaidi Afrika katika tuzo za African
Muzik Magazine Awards “ AFRIMMA 2014.’ Wasanii watakao shiriki ni P – Square,
Davido, Fally Ipupa, Mr Fravour, 2Face, Sarkodie, Diamond Platnumz na wengine
wengi..........
Mwazishi wa Tuzo Hizo alifunguka na kusema kuwa “ The
Weekend promises to be a ground breaking and revolutionary experience” hayo
yalikua maneno ya Anderson
Obiagwu ambaye ndio mwazishi wa tuzo hizo.

0 maoni:
Post a Comment