MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

HATUTAWABAGUA WAISLAM:UJERUMANI

Rais wa Ujerumani Joachim Gauck amewahakikishia uvumilivu na ustahimilivu waislam million nne waliopo nchini humo pamoja na tukio la shambulizi nchini Ufaransa.............



Katika kumbukumbu ya shambulio la mjini Paris Ufaransa mbele ya umati, Rais Gauck alisema “sisi wote ni Wajerumani”. Amesema kuwa walitekeleza shambulio Charlie Hebdo nia yao ni kutaka kuwagawa watu kwa matabaka ya dini,lakini Ujerumani kamwe haiwezi kufuuata mgawanyiko huko kwa Waislam waliopo 

Ujerumani. Awali viongozi wa kidini na kisiasa pamoja na Kansela Angela Merkel walitoa salam zao za rambi rambi kwa kuweka maua ubalozi wa Ufaransa nchini Ujerumani kama hatua ya kulaani shambulio hilo.
kutoka BBC Swahili.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment