
Gazeti la Charlie Hebdo leo limeanza
kusambaza toleo la gazeti lake ambalo limechapishwa kibonzo cha Mtume Mohammad
kwenye ukurasa wake wa mbele............
Nakala
Milioni za gazeti hilo zimeanza kusambazwa na nyingine zitafuata iwapo wanunuzi
wataongezeka.
Picha
ya kibonzo hicho iliyopo ukurasa mbele wa gazeti hilo inamwonyesha Mtume
Mohammad akilia
Wachambuzi
wa mambo wanaona kuwa picha hiyo itachochea chuki.

Hata
hivyo waandishi wa habari wa gazeti hilo wanasema ukurasa wa mbele unamaanisha
Waandishi wa habari wamewasamehe waliotekeleza shambulizi la kigaidi
lilolofanyika jumatano wiki iliyopita.
Naibu Mhariri wa Gazeti la Liberalation Alexandra Schwatzbrod anasema ulikuwa uamuzi mwepesi kwa gazeti lake kuchapisha picha ya kibonzo hicho
kutoka BBC Swahili.
0 maoni:
Post a Comment