MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

KAMPUNI YA SMARTWATCH KUZINDUA SAA MPYA


Kampuni ya saa za Smartwatch,Peeble imechangisha zaidi ya dola millioni 10 .............
kwa ajili ya programu yake mpya ya wakati katika mtandao unaofadhiliwa na makundi ya watu Kickstarter.Mradi huo wa kampuni ya Peebles ni miongoni mwa miradi inayoungwa mkono na wengi.Saa hiyo mpya itavaliwa na wawekezaji mwishoni mwa mwezi mei kabla ya kuuzwa kwa uma baadaye mwaka huu.
Chanzo ni BBC
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment