Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza,
amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu
kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita...........
Mawaziri
walioachizwa kazi ni wa Ulinzi, mashauri ya Nchi za kigeni na biashara.
Mapema
hii leo, polisi walivyatua risasi hewani katika mji mkuu Bujumbura, kujaribu
kuutawanya umati wa vijana uliokuwa ukifanya ghasia.
Chanzo BBC
0 maoni:
Post a Comment