MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

JOHN MAGUFULI AMEINUKA KIDEDEA, KWA USHINDI WA KISHINDO.

Kutoka Dodoma, Chama cha ccm kimefanikiwa kumpata atakeyeshika nafasi ya kuwaniani Urais 2015, John Magufuli amefanikiwa kushinda kwa kura 1560, akifuatiwa na Asha Rose Migiro............ <<<SHEBI MASTORY>>


Hayo ndio yaliyotufikia hivi punde kutoka Dodoma.

Sambamba na upande wa ukawa kwa Upande wao nao wameonekana kuwa na shika ni kushike, taarifa za ukawa zitafuata….
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment