Wana sayansi wa NASA kutoka Marekani
wanasema kuwa majaribio yao ya kurusha chombo kwenda katika sayari ya Pluto
yamekuwa na mafanikio makubwa............
Chombo
hicho kimefanikiwa kutuma taarifa katika kituo cha utafiti huo cha Maryland
zilizochukua takribani saa nne na nusu hadi kufika duniani na kupokelewa na
antenna NASA.
Saa
chache zijazo wanasayansi hawa wa NASA wameeleza kuwa wanatarajia kupata
mfululizo wa taarifa zaidi na picha kutoka sayari hiyo ya Pluto ambazo zitatoa
uhalisia wa undani wa sayari hiyo ya Pluto.
Chanzo BBC.
0 maoni:
Post a Comment