GOOD NEWS. Mashabiki wa muziki wa Tanzania tena wale wa Diamond Platnumz nazani
watakuwa very happy kwa msanii wao kufanya ngoma na NE YO Wa nchini marekani.............
Hii
inatupa picha kuwa mziki wa bongo unazidi kuvuka ng’ambo zaidi na kutufanya
tujulikanike duniani kupitia muziki huu wa Bongo fleva
Diamond Platnumz aliandika haya "Thanks
alot my Brother @neyo and the Whole Compound Crew had a great Session, and it
was realy nice working with you…can’t wait for the World to hear this Hit
Song!! Diamond Platnumz ft Neyo‘
@diamondplatnumz"
0 maoni:
Post a Comment