Watu wengi siku hizi na haswa vijana huwa
wakishahitimu chuoni wanatafuta ajira kwa kipindi kirefu na hatimaye wanakata
tamaa...............
Wengi
hao huamua kuanzisha biashara ndogo ndogo kwa nia ya kujikimu kimaisha.
Wengi
huibukia kuwa wajasiria mali shupavu kutokana na talanta yao.
Aidha
wengine uvumbuzi wao huwapatia kipato hata zaidi ya mshahara ambao wangepata
laiti wangeajiriwa.
Hata
hivyo idadi ya wajasiria mali ambao hushindwa kuendeleza biashara zao baada ya
miaka mwili ni kubwa mno.
Je
wewe unaweza kuwa mjasiria mali mtajika?
Kupata
jibu la swali hilo, tafadhali jibu maswali haya ambayo yatakusaidia kutathmini
uwezo wako wa kuwa mjasiria mali shupavu
Tahadhari:
Chemsha
bongo hii hailengi kukubashiria iwapo utafaulu au la katika ulimwengu wa
biashara.
Imeundwa
kutokana na nadharia wala haifai kutumika badala ushauri wa kiufundi.
Je
maswali yalikusudia nini ?
Swala
zima la ujasiria mali limekuwepo kwa muda mrefu lakini ni hivi majuzi tu ndio
utafiti wa kina kuihusu umeanza kufanywa kwa nia ya kutambua mbinu vigezo na
tathmini ya ubora wa mjasiria mali na somo lenyewe.
Chemsha
bongo hili lilitokana na utafiti wetu wa sera nadharia zilizochapishwa
kuhusiana na ujasiria mali kwa ushirikiano na mhadhiri wa chuo kikuu cha
Cardiff Metropolitan, profesa Brian Morgan.
Nia
yetu ilikuwa kutathmini ushawishi wa mjasiria mali binafsi kisaikolojia
ushindani wake na ari ya kutaka kujiendeleza na kujisimamia.
SPECIAL THANKS TO
"""Imeandikwa
na Gerry Fletcher, Robert McKenzie, Ransome Mpini, Will Smale, Nzar Tofiq na
John Walton.""
0 maoni:
Post a Comment