Ripoti kutoka nchini
Yemen zinasema kuwa muungano unaongozwa na Saudi Arabia umefanya mashambulizi
ya angani kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Sanaa, siku mbili baada ya shambulizi la
waasi lililowaua wanajeshi 60.
Walioshuhudia walisema
kuwa mashambulia hayo yalilenga ngome za waasi wa Houthi na vikosi vilivyo
watiifuu kwa rais wa zamani Ali Abdullah Saleh.
Ripoti zingine kutoka
hospitali za mji wa Sanaa zilisema kuwa zaidi ya raia 20 wameuawa kwenye
mashambulizi hayo.
0 maoni:
Post a Comment