Msanii wa Muziki wa
Nchini Marekani Pharrell Williams, alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu mara
baad ya watu zaidi ya 2000, kuandamana mjini Cape Town, Afrika kusini , kupinga
Show yake nchini humo.
Maandmano hayo
yalifuatiwa baada ya msanii huyo kusain mkataba wa matangazo na kampuni ya
Woolworths, ambayo iko bega kwa bega kibiashara na Israel.
Kundi hilo la watu
wengi wao wakiwa waumini wa dini ya Kiislamu, wanaamini kuwa kufanya kazi na
kampuni hiyo inamaanisha kuwa unaunga mkono mauaji yanayofanya na Israel dhidi
ya Palestina.
Inadaiwa kuwa
maandamano yoyote yatakayo kuwa na mathilahi na waislamu nchini Afrika Kusini
tena yakiwa yanaunga mkono Palestina basi huwa na nguvu zaidi. Lakini ratiba za
show za msanii huyo zitaendela kama kawaida.
0 maoni:
Post a Comment