Msanii wa Muziki wa
Nchini Naija, WIZKID, Ametangaza kuahirisha siku ya kutoa Album yake mpya ndani
ya mwaka huu mpaka hapo mwakani.
Haya yamefuatia baada
ya kuudhulia sherehe ya 2face ya kutimiza miaka 40, Wiz, alisema kuwa kuna vitu
vingi vya kujifunza kutoka kwa mkongwe huyo wa muziki nchini humo “2face”
0 maoni:
Post a Comment