MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

JONI WOKA ALIPUKIWA NA MTUNGI WA GESI, YUKO ICU.... DAMU YAVUJIA KWENYE UBONGO

BAD NEWZ,
20160214233239
Msanii wa Music Nchini John Woka amepata ajali ya kulipukiwa na mtungi wa Gesi wakati wakiangaikia kurekebisha gereji maeneo ya Sinza.

Inadaiwa kuwa mtungi wa gesi ulivulipuka kipande cha mtungi huo wa chuma kilimrukia kichwani na kuzama, madaktari wamesema kuwa damu nyingi zimevujia ndani ya Ubongo.


Msanii huyo yuko katika wodi za wangonjwa maututi “ICU”
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment