Msanii wa Music Nchini Tanzania, Yule mkali wa Ndindidi, Lady JayDee, ameamua kuja na mkito mwengine utakaoshushwa hivi karibuni.
Ngoma hiyo itakwenda kwa jina la “SAWA NA WAO” unategemewa kutoka siku ya jumaTatu ya July 4. Wimbo huo unatakuwa kati ya nyimbo zinazotengeneza Album yake mpya ya WOMEN
0 maoni:
Post a Comment