Chelsea wameshamsajili mshambuliaji Michy Batshuayi kutoka Marseillekwa mkataba wa miaka mitano.
Kijana huyo mbelgiji wa miaka 22 anakuwa wa kwanza kununuliwa na meneja mpya pale Stamford Bridge.
Antonio Konte. Malipo hayajawekwa wazi lakini inaaminika kuwa ni pauni milioni 33 sawa na Euro milioni 40.
0 maoni:
Post a Comment