Serema azidi kutesa Wimbledon - 7/04/2016 Serena Williams ameendelea kufanya vema katika Wimbledon baada ya kumbana Mjerumani Annika Beck kwa set 6-3 6-0. Sasa Serena atakutana na mrusi Svetlana Kuznetsova ambaye alimpiga mmarekani Sloane Stephens 6-7 (1-7) 6-2 8-6 Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About MWERA AMAZING This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. RELATED POSTS
0 maoni:
Post a Comment