
Mcheza tenisi na bingwa mara 17 wa
Grand Slam Roger Federer amepanga kujiweka sawa kwa ajili ya michuano
ijayo ya wazi ya Australia baada ya kupata jeraha lilompata katika
nusu ya msimu wake wa mwaka 2016.
Alifanyiwa upasuaji mwezi wa pili kabla ya tatizo la mgongo lililomuondoa katika michuano ya wazi ya Ufaransa.
Kutoka BBC SWAHILI
0 maoni:
Post a Comment