MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Hart kusajiliwa na Torino ya Italia kwa mkopo

 HART
Golikipa namba moja wa timu ya taifa ya England Joe Hart ambae amepoteza namba katika kikosi cha kwanza cha Man City, chini ya kocha mpya Pep Guardiola.

Hart hajaanza katika michezo mitatu iliyopita ya ligi kuu ya England, nafasi yake katika milingoti mitatu ya goli la timu yake limekua likilindwa na kipa mkongwe Willy Caballero.

Taarifa zinasema kipa huyo anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya leo hii ili kujiunga na timu ya Torino ya nchi italia,kwa mkopo.

tayari Man City wamemsajili golikipa Claudio Bravo toka Barca kwa mkataba wa miaka minne.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment