
Najua wajua kuwa burudani ni sehemu ya Maisha kwa kulijua hilo National Museum of Tanzania, Museum and House of Culture, inakushushia bonge la Event (MUSEUM ART EXPLOSION) siku ya Ijumaa Hii kuanzia saa MOJA JIONI HADI saa TATU USIKU kwa Mkwanja wa Buku 10,000/= kwa mtu mkubwa na watoto ni buku Tano Tu.
Kuwa wa kwanza kujivunia sanaa ya Tanzania kwa kusapoti kazi ya Nyumba. Ukipata Taarifa hii Basi wajuze na wengine.
0 maoni:
Post a Comment