MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Muethiopia Ayana atwaa dhahabu na rekodi Rio

Almaz AyanaImage copyrightAFP
Image captionAlmaz Ayana ameshindia Afrika dhahabu ya kwanza Rio na kuvunja rekodi ya dunia
Raia wa Ethiopia Almaz Ayana ameishindia Afrika dhahabu ya kwanza Michezo ya Olimpiki mjini Rio na kuvunja rekodi ya dunia mbio za mita 10000 wanawake.
Ayana aliwaacha nyuma wapinzani wake mbio zikiwa katikati na kuendelea hadi mwisho, muda wake ukiwa dakika 29 sekunde 17.45.
Rekodi ya awali iliwa 29:31.78 na iliwekwa na Mchina Wang Junxia mwaka 1993. Mkenya Vivian Cheruiyot ameshinda fedha naye raia mwingine wa Ethiopia Tirunesh Dibaba akachukua shaba.

KUTOKA BBC SWAHILI
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment