MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

P-Square wamerudi studio kama kundi tena na kuanza kurekodi muziki.

Kundi la P-Square linaloundwa na wasanii mapacha Peter na Paul Okoye limeripotiwa kuanza kurekodi nyimbo pamoja tena baada ya kutoelewana kwa miezi kadha.
July 2016 Peter Okoye alisema kupitia Instagram kuwa mambo yako shwari kwa P-Square na kwamba kaka yao Jude Okoye amebaki kuwa meneja wao.
Ujumbe mpya kuhusu UPDATES za P Square kwenye instagram ya Peter ulisema…
Something new Cooking in da kitchen and about to come out! From us! You already know it’s P2 baby!!! #KoolestDudes
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment