MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Rudisha ni mwamba wa mbio za mita 800

David Rudisha

Mwanariadha wa Kenya David Rudisha
Mwanariadha raia wa Kenya amedhihirisha umwamba wake baada ya kushinda mbio za mita 800 huko Rio De Jeneiro nchini Brazil usiku wa kuamkia leo.
Mwanariadha huyo mwenye miaka 27 ameonyesha uzoefu wake katika mbio ambapo baada ya kuwa nyuma alianza kuwapita wenzake katika mzunguko wa mwisho na hata Mkenya mwenzake Alfred Kipketer na kukamilisha mbio hizo kwa dakika moja na sekunde 42.15
Naye Malgeria Taoufik Makhloufi alishika nafasi ya pili na kujinyakulia medali ya dhahabu kwa kikimbia kwa dakika moja sekunde 42.61
.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment