Tetemeko jingine la ardhi lenye ukubwa wa rishta 6.8 limekumba mkoa wa kati wa Myanmar.
Watu
watatu wameripotiwa kufariki katika tetemeko hilo ambalo lilisikika
mpaka mji wa Bangkok nchini Thailand na Dhaka nchini Bangladesh.Ndugu wawili wamekufa kwenye maporomoko.
Sehemu nyingine hazijaathiriwa sana.
kutoka BBC Swahili.
0 maoni:
Post a Comment