
Aliyekuwa kiongozi wa waasi katika
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Bosco Ntaganda ameanza kula baada ya
kugoma kwa takriban wiki mbili katika kizuizi chake kwenye mahakama ya
kimataifa ya uhaini huko Hague, Shirika la AFP linaripoti.
Amepewa jina la utani "The Terminator" kutokana na shughuli zake Congo, Ntaganda aligoma kula kulalamika dhidi ya hali inayomkabili kizuizini, ikiwemo kuhusu suala la kutembelewa na familia yake.
KUTOKA BBC Swahili
0 maoni:
Post a Comment