MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

Magufuli avunja bodi ya udhamini wa pensheni Tanzania

 Magufuli
Rais wa Tanzania John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof Hasa Mlawa na kuvunja bodi ya udhamini wa mfuko huo.

Taarifa kutoka ikulu imesema uamuzi huo utaanza kutekelezwa mara moja.

"Uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Udhamini ya LAPF utafanywa baadaye," taarifa hiyo imesema

kutoka BBC Swahili
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment