
Bondia wa Uingereza Kell Brook
analenga kufuata nyayo za Sugar Ray Leonard wakati atakapokabiliana na
mfalme wa uzani wa kati Gennady Golovkin mjini London siku ya Jumamosi.
Bingwa wa zamani wa uzani wa Welter duniani Sugar Ray Leonard alirudi katika ulingo wa masumbwi mwaka 1987 baada ya kustaafu na kumshinda bingwa wa uzani wa kati wakati huo Marvin Hagler.
0 maoni:
Post a Comment