JUKWAA LA KATIBA HALIJARIDHISHWA NA TUME DHIDI YA MWANGOSIkufwatiwa na tume huru iliyoundwa na waziri wa mambo ya ndani
DK-Emmanuel Nchimbi ya kuchunguza kifo cha aliyekuwa mwandishi
wa Habari wa Channel Ten Bw, Daud Mwangosi hivi karibuni , jukwaa la
katiba Tanzania limeonesha kutoridhishwa na tume hiyo.
Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa jukwaa la katiba Tanzamnia Bw, Deus
Kibamba wakati akitoa tamko hilo mbele ya wahandiushi wa habari jijini Dar es salaam
Bw, Kibamba amesema kuwa kutokana na tume kuundwa na waziri mwenye dhamana
wanapatwa na wasi wasi kama tume inaweza kufanya kazi yake kwa uhuru.
Bw, Kibamba ameiyomba serikali kuchukua jukumu la kutunza familia ya marehemu
Mwangosi ndani ya miaka 20, mpaka watoto watakapoweza kujitegemea wenyewe.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment