MASHAMBULIZI YA KISASI NCHINI KENYA.
takribani watu 11 wa kabila la Pokomo wameuawa katika
mashambulizi mapya ya kulipiza kisasi katika eneo la Tana
River, kusini mwa kenya.
mtu mmoja aliyeshuhudia tukio hilo alisema , aliisikia watu
wakipiga mayowe wakati kijiji kimoja kilipokuwa kinashambuliwa
na kisha wenyeji kuteketezwa.
Eneo hilo ambako zinaishi jamii za kuhamahama ni kitovu cha
mizozo ya ardhi na maji kati ya jamii za Oma na Pokomo.
watu wngine 10 walijeruhiwa kwenye uvamizi huo uliotokea usiku
wa kuamkia leo.
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 maoni:
Post a Comment