CECAFA KWENDA UGANDA
Kenya imepokonywa fursa ya kuanda mashindano ya
Mwaka huu ya kuwania kombe la klabu bingwa kanda ya
Afrika mashariki na kati CECAFA, kutoka na maandalizi
Mabaya.
Kwa mujibu wa katibu mkuu wa CECAFA, Nicolasa Musonye,
Shirikisho la mchezo wa soka nchini Kenya , limeshindwa-
Kuandaa mashindano hayo uamuzi ambao umelazimisha
Mdhamini mkuu wa mashindano hayo kuipa fursa hiyo
Shirikisho la mchezo wa kandanda nchini Uganda kuyaandaa
Mashindano hayo.

0 maoni:
Post a Comment