WEST HAM KUMSAJILI JARVIS.
West ham imeafiki mkataba ambao unakisiwa
Kuhharimu kitita cha pauni milioni kumi nukta
saba na tano kumsajili mchezaji kiungo wa
Wolverhampton matt Jarvis.
Mkataba huo uliafikiwa na vilabu hivyo siku ya
Jumatano na mchezaji huyomwenye umri wa miaka
26, anatarajiwa kusafiri hadi London ili kujadiliana
Na klabu hiyo kuhusu malipi yake, kabla ya kufanyika
Kwa uchunguzi wa kiafya.

0 maoni:
Post a Comment