RISASI ZATIBUA NEW YORK.
Watu kadha wamepigwa risasi nje ya jingo maarufu la
Skyscraper mjini new York, Empire state building ambalo
Ni kivutio kikubwa cha watalii.
Kwataarifa zilizojiri zinasema kuwa mwanamme mmoja
Alifyatua risasi mara polisi nao wakamuwai na kuuliwa na polisi
Hapo hapo.
Meya wa new York, Michael Blomberg, alisema baadhi ya wale
Waliojeruhiwa pengine walipingwa na polisi , alisema lakini
Majeruhi siyo Mahututi.

0 maoni:
Post a Comment