KAMPUNI YA LONMIN YATEUA MKURUGENZI MKUU MPYA
Kampuni ya madini Afrika kusini , Lonmin, iliyokuwa
Shina la mgomo wa fujo, imemteuwa mkurugenzi mkuu
Mpya.
Lonmin imesema kuwa mkurugezi mkuu wa mapato,
Simon Scott, atachukua nafasi ya ian Farmer, ambaye
Amechukua likizo kwa sababu ni mgonjwa na ambaye
Hatarudi tena kufanya kazi kikamilifu kwa mienzi kadha.
Watu 44 wameuwawa kwenye mapambano baina ya polisi
Na wachimba madini waliogoma,

0 maoni:
Post a Comment