MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
SAMSUNG YAPIGWA BAO MAHAKAMANI
Jopo la mahakama moja ya marekani limeamua kuwa
Kampuni kubwa ta teknologia ya korea kusaini, Samsung
Iliiga baadthi ya ufundi mpya wa kampuni ya marekani ya
Apple kuunda simu zake wenyewe za kisasa za smartphone
Na komputa ndogo ya TABLET.

Baadhi ya kesi iliyoendelea kwa mwaka mzima , ambayo
Ilichunguza mashtaka kama 700 ya aina ya ufundi ulioigwa,
Mahakama ya California iliamrisha Samsung iilipe kampuni ya
Apple fidia ya dola zaidi ya billion moja.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment