MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
MAEREKANI YAONDOKEWA NA MWANA ANGA MKONGWE.

Rais wa marekani Barak Obama ameongoza katika sifa na
Rambi rambi zilizotoelewa baada ya kifo cha mwana anga
Wa kwanza kutua kwenye mwenzi  Bw-NEIL ARMSTRONG,
Ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 82, kutokana na
 Matatizo aliyopata baada ya upasuaji wa kwenye Moyo.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment