SENSA YA UTATA YAANZA LEO TZ
Tanzania leo imeanza zoezi la kuhesabu idadi ya watu
Nchi nzima , sense inayofanywa kila baada ya miaka 10.
Sense hiyo inaendelea ingawaje baadhi ya waisilamu
Wenye misimamo mikali wamesema kuwa sense hiyo
Imetungwa kwa namna ambayo haitaonesha idadi yao.
Pia wamesema kuwa hawatoshiliki kama kipengele cha
Dini hakitokuwepo ingawaje Rais wa Tanzania, kikwete
Aliwasihi watu wote kujitokeza katika zoezi la sense kwa
Maendeleo ya taifa.

0 maoni:
Post a Comment