MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
MITAA YA MOMBASA YATIBUKA NCHINI KENYA.
Ghasia zimezuka mjini Mombasa baada ya mhubiri wa kiislamu
Ambaye pia alikuwa mshukiwa wa kundi la kufadhili kundi la
Wanamgambo wa Al shabab nchini Somalia ,Aboud Rogo,
Kuuawa kwa kupingwa risasi mjini Mombasa pwani mwa kenye.

Mtu mmoja ameuawa na wengine kujeruhiwa katika mtaa wa
Mejengo  kufuatia mapigano kati ya polisi na mamia ya watu
Walioghadhibishwa na kitendo cha kuuawa kwa bwana Rogo
Ambaye alikuwa mhubiri wa kiisilamu mjini Mombasa.
Hali hiyo iliwafanya wenye maduka kufunga maduka hayo
Na watu kukimbilia katika sehemu zenye usalama .
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment