AC MILLAN KUMNYAKUA BALOTELLI
Timu ya AC Millan ,
imethibitisha kuwa klabu hiyo imemsajili
Mshambuliaji wa Manchester city,Mario Balotelli,
kwa kitita cha
Pauni milioni 20.
Balotelli ,22,anatarajiwa
kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu mjini
Millani, siku ya jumatano kabla
ya kusaini na klabu hiyo.
Klabu hiyo imesema kuwa
mchezaji huyo mwenye umri wa 22, anakisiwa
Kugharimu pauni milioni 21,
mbali na fedha za ziada.
0 maoni:
Post a Comment