- 1/28/2013 GHANA 3, NIGERIA 0 Kikosi cha timu ya Ghana kinaelekea kufuzu kwa robo fainali Ya michuano ya kuwania kombe la mataifa ya Afrika, inayotimua Vumbi nchini Afrika kusini. Kufikia dakika 51 zilizopita Ghana ilijipatia mabao 3 kwa bila dhidi ya Nigeria Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About MWERA AMAZING This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. RELATED POSTS
0 maoni:
Post a Comment