EVERTON YAMSAJILI LEROY
Timu ya Evarton imekubali
kulipa kitita cha pauni milioni saba
Kumsajili mchezaji kiungo Leroy
Fer wa FC Twente,
Mchezaji huyo mwenye umri wa
miaka 23, ameifungia timu yake
Magoli kumi katika michezo
29, chini ya kocha wake Steven mcClaren.
0 maoni:
Post a Comment