WEST
BROM YATAKA KUMNUNUA ODEMWINGIE.
West Brom, imekataa ombi la pili kutoka kwa klabu ya QPR, la
kutaka
Kumsajili mshambuliaji wake
Peter Odemwingie.
West Brom, ilikataa pendekezo la QPR, la kutaka kumsajili
mchezaji
Huyo kwa kitita cha pauni
milioni tatu.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment