DJOKOVIC BINGWA WA AUSTRALIAN
Mchezaji namba moja duniani
katika mchezo wa tenisi, Novak Djokovic,
Leo ameshinda taji la nne
katika michuano ya tennis ya Australia Open,
Mara baada ya kumuangusha
Andy Murray, katika fainali za michuano hiyo.
Mchezaji huyo mwenye hasili
ya Serbia ,
alitumia muda wa masaa 3:40,
Kumshinda Murray kwa jumla ya seti tatu kwa moja
0 maoni:
Post a Comment