Timu ya taifa ya Ivory Coast,
imeichakaza vibaya timu ya Tunisia
kwa
Ushindi wa mabao 3 kwa 0,
katika mechi yao
ya pili ya kundi D.
Kwa ushindi huo timu ya Ivory Coast
inakwenda katika kufuzu kwa
Robo fainali ya michuano ya
kombe la A frika inayoendelea kukimbiza
Nchini Afrika kusini.
Katika mchezo huo Ivory Coast ilijipatia bao la kwanza kupitia kwa
mchezaji Wa Gervinho katika dakika ya 21 kipindi cha kwanza, wakati bao la pili
Lilipatikana kunako nakika ya 85 kupitia
Yahya Toure, na bao la mwiho Ambalo lilikuwa la funga dimba lilipatikana dakika
ya 88, kupitia Didier Yakonan., wakati Tunisia
haikuweza kufunga ata bao la kufutia machozi.
0 maoni:
Post a Comment