Timu ya Manchester city imejipatia bao moja kunako
dakika za mwisho
Za mchezo huo kupitia Pablo
Zabeleta, mchezo huo uliusisha timu ya
Stoke City na Mn city, bao hilo limeipeleka man city
katika raund ya
Tano ya michuano ya kuwania
kombe la FA.
WACHEZAJI WA Man city
walijitaidi kulishambulia gori la Stoke city
Lakini jitiada hizo ziliishia
katika milingoti, pia kipa wa Stoke city, Thomas
Sorenson alikuwa na kazi ya
ziada ya kuokoa mikwaju ya washambuliaji wa
Man city.
Lakini katika dakika za
majerui Sergio Aguero, alitoa pasi kwa Zebaleta ambayo Aliiweka kimiyani na
kuwaacha mashabiki wa stoke city midomo wazi, mpaka mchezo unakwisha bao
lilikuwa ni moja kwa bira
0 maoni:
Post a Comment