Mcheza mpira wa Tenis Andy
murry, ameibuka na kuwa mshindi
Na kumshinda Roger Federer,
kwa mara ya kwanza katika mchezo
Wa mashindano ya Tenis ya
AustraliaOpen.
Tatu kwa mbili na kujikatia
tiketi ya fainali ya mashindano hayo
Yatakayofanyika siku ya jumapili
0 maoni:
Post a Comment