1-1 ZAMBIA NA NIGERIA
Mechi kati ya wababe wa soka
barani Afrika Zambia na Nigeria ,
Mechi hiyo imemalizika kwa
kutoka sare ya bao 1-1,
Mechi hiyo ilikuwa ni
miongoni mwa mechi zilizotabiriwa kuwa
Ngumu sana katika hatua hii ya makundi ya fainali
za kombe la
Mataifa Afrika inayotandaza
kabumbu nchini Afrika kusini.
Katika mchezo huo kipa wa zambia
alisababisha penati mara baada
Ya kumfanyia mazambi mchezaji
wa Nigeria
katika kipindi cha kwanza
Dakika ya 25, lakini penati
hiyo haikuweza kutoa matunda kwa timu hiyo.
Mpaka mcheo kwisha walimaliza
kwa sare ya 1-1
0 maoni:
Post a Comment