AL SHABAAB WATAKA WENZAO KUWA
HURU.
Serikali ya Kenya imeshutumu
tishio la magaidi
Wa Al shabaab walio nchini Somalia kwa
kutka
Kuwaua wakenya,
wanaoshikiliwa na kundi hilo
Iwapo hawatosikilizwa matakwa
yao na serikari
hiyo.
Wanataka wapiganaji wa
kiisilam wanaozuiliwa nchini
Humo kwa madai ya kuusika na
vitendo vya kigaidi
Kuachiliwa.
0 maoni:
Post a Comment