Mugabe mwenye umri wa miaka 92 amekana
uwezekano wowote wa kuondoka madaraklani na kuwashambulia viongozi hasimu ndani
ya chama tawala cha ZANU-PAFU kwa kupanga kumrithi.
Amesema kuwa yeye anawahudumia watu wa
Zimbabwe na kuwa ataondoka tu ikiwa watu wangetaka afanye hivyo. Hata hivyo
amesema kuwa haondoki na haendi popote.
kutoka BBC Swahili
0 maoni:
Post a Comment