JE DE GEA KUBAKI AU ?
Kipa wa timu ya man city, Je
De Gea, amefunguka na kusema
Kuwa anaamini kuwa kocha wa
timu hiyo Sir Alex Ferguson,
Atamdumisha kuwa kipa namba
1, wa timu hiyo.
Wadau wa soka wanasema kuwa
kipa huyo kutoka nchini
Uhispania huenda akauzwa
baada ya kufanya vibaya tokea kujiunga
Kwake na timu hiyo kutokea
timu ya Attetico Madrid ,
mwaka 2011,
Kwa gharama ya pauni millioni 18.
0 maoni:
Post a Comment