MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

AFRIKA KUSINI YAICHAKAZA ANGOLA 2-0.
Timu ya taifa ya Afrika kusini ambayo ni wenyeji wa michuano
Ya kombe la mataifa Afrika , imeweza kufufua matumaini yake
Ya kufuzu kwa raundi ijayo ya michuano ya kuwania kombe la
Mataifa ya Afrika, inayoendelea nchini Afrika kusini, kwa kuilaza
Angola kwa magoli mawili kwa bila,.

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment