MICHI KUBAKIA KILABUNI.
Mshambuliaji wa Swense Michu,
amesaini mkataba mpya
Na kuongeza muda wake na
klabu hiyo kwa kipindi cha miaka 8
Ijayo.
Mchezaji huyo kutoka nchini
Uhispania , ameibuka kuwa miongoni
Mwa wachezaji bora wa ligi ya
kuu ya Premier ya England
tangu aliposajiliwa
Na timu ya Rayo Vallecano kwa
kitita cha pauni milioni mbili nukta mbili.
0 maoni:
Post a Comment